Winamp Logo
Muziki Ijumaa Cover
Muziki Ijumaa Profile

Muziki Ijumaa

Swahili, Political, 1 season, 43 episodes, 7 hours, 36 minutes
About
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
Episode Artwork

Muziki Ijumaa

Katika kipindi hiki mtangazaji wa zamu anakuchezea kibao unachokipenda kwenye redio kila siku ya Ijumaa.
4/27/202410 minutes, 4 seconds
Episode Artwork

Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda

Florence Kiwuwa amekuchezea ombi lako kwenye makala ya wiki hii ya muziki Ijumaa.
4/19/202410 minutes, 40 seconds
Episode Artwork

Muziki Ijumaa ,Burudani kabambe

Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda.
1/26/202410 minutes, 5 seconds
Episode Artwork

Miziki bora juma hili ndani ya Muziki Ijumaa na Florence Kiwuwa

Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.
12/22/202310 minutes, 4 seconds
Episode Artwork

Burudani ya Muziki na Jupiter Mayaka

Muziki hutoa hamasisho, elimu, burudani, husaidia kukumbuka mambo na pia huondoa msongo na kuboresha afya.
11/18/202310 minutes
Episode Artwork

Burudani ndaniy amakala muziki ijumaa na Minzilet Ijai

9/29/202310 minutes, 9 seconds
Episode Artwork

BURUDANI YA MUZIKI IJUMAA

Wiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio
9/15/202310 minutes, 3 seconds
Episode Artwork

Muziki Ijumaa ,makala yanayokutumbuiza

Karibu kwenye Makala ya Muziki Ijuma. Unaweza kusikiza ombi lako la muziki hapa.
9/11/202310 minutes, 2 seconds
Episode Artwork

Burudani ya Muziki

Wiki hii  upo nae Florence Kiwuwa amekuchezea muziki bora zaidi katika juhudi za kuipamba wikendi yako.
8/25/202310 minutes, 2 seconds
Episode Artwork

Burudani ya muziki Ijumma, tunacheza ombi lako la muziki

Katika Makala haya ya burudani huwa tunakupa nafasi wewe msikilizaji wetu kuchagua wimbo nasi tunakuchezea moja kwa moja kwenye redio kila siku ya Ijumma
8/18/20239 minutes, 59 seconds
Episode Artwork

Muziki Ijumaa

Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda.
8/15/202310 minutes
Episode Artwork

Sikiliza Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali

Juma hili Ali Bilali yupo kwenye usukani kukuletea Makala Muziki Ijumaa.
7/22/20239 minutes, 59 seconds
Episode Artwork

Muziki Ijumaa makala ya burudani tosha

Jupiter Mayaka amekuandalia burudani ya kukata na shoka, ikiwa ni siku ya Kiswahili duniani akikuhimiza kuwa lugha hii adhimu itukuzwe.
7/18/202310 minutes, 3 seconds
Episode Artwork

Burudani ya muziki

Wiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio
7/15/202310 minutes
Episode Artwork

Miziki ya aina yake ndani ya Muziki Ijumaa

Kila Ijuma rfi Kiswahili inaporomosha vibao motomoto kupitia makala haya, nawe mskilizaji unapata nafasi ya kipekee kuomba miziki unaopenda. Miongoni mwa vibao utakavyopokea ni pamoja na kutoka nchini DRC, Tanzania na kote duniani, skiza makala haya kwa uhondo kamili.
6/23/202310 minutes, 8 seconds
Episode Artwork

Burundani ya Muziki juma hili na Ali Bilali

Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki uliochaguwa, kama ilivyo ada ya kila siku ya Ijumaa. Usikosi pia kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali
6/9/202310 minutes
Episode Artwork

Rhumba ndani ya makala Muziki Ijumaa

Kila Ijuma rfi Kiswahili inakupa nafasi ya kipekee kuskiza vibao moto moto  ndani ya Makala Muziki ijumaa. Katika Makala haya Utaskia vibao moto kutoka kwa wasanii wakale kama vile Madilu System, hadi wa sasa kama vile Hermonize kutoka Tanzania.   Kwa uhondo zaidi skiza makala.
5/28/202312 minutes, 9 seconds
Episode Artwork

Burudani moto moto ndani ya muziki ijumaa

Karibu kuungana na mtangazaji wako Reuben Lukumbuka katika muziki ijumaa, anaungana na wasikilizaji kutoka kila kona wiki hii
5/19/202310 minutes, 2 seconds
Episode Artwork

Burudani Murua ndani ya Muziki Ijumaa

Karibu kuungana na mtangazaji wetu Florence Kiwuwa  anakuletea makala sahihi unayoipenda ya muziki ijumaa hii ya Aprili  28 2023
4/28/202310 minutes
Episode Artwork

Burudani ndani ya makala muziki ijumaa

4/21/20239 minutes, 59 seconds
Episode Artwork

Muziki na tumbuizo maalum

Karibu kuungana na mtangazaji wetu mwandamizi Reuben Lukumbuka anakuletea makala sahihi unayoipenda ya muziki ijumaa hii ya marchi 24 2023
3/24/202310 minutes, 8 seconds
Episode Artwork

MUZIKI IJUMA

Karibu kwenye Makala ya Muziki Ijuma. Unaweza kusikiza ombi lako na muziki hapa.
3/17/202310 minutes, 23 seconds
Episode Artwork

Muziki wa kipeke ndani ya rfi Kiswahili

Kila ijumaa unapata nafasi ya kuomba na kuskiza muziki unaopenda ndani ya rfi Kiswahili, kupitia makala ya Muziki Ijumaa. Juma hili Benson Wakoli amekuandalia vibao mbalimbali kutoka Africa Mashariki, vibao vya kale na sasa, ili kupanda uhonda kamili skiza makala haya
3/3/202311 minutes, 28 seconds
Episode Artwork

Midundo motomoto ndani ya mitambo ya rfi kiswahili

Ukikose kuskiza vibao mrua kabisa ndani ya makala muziki ijumaa kila ijumaa katika rfi kiswahili.
1/20/202315 minutes, 28 seconds
Episode Artwork

Midondo motomoto ndani ya rfi Kiswahili

Kila Ijumaa rfi Kiswahili inatoa nafasi kwa waskilizaji wake kuomba muziki ndani ya makala ya Muziki Ijumaa. Skiza vibao vya bomba vya juma hili.
8/26/202214 minutes, 1 second
Episode Artwork

Burudani hii ni asilimia 100 chaguo la msikilizaji

Makala haya yanakuletea Burudani ya Muziki uliochaguliwa na waskilizaji  Usikosi pia kutufollow kwa instagram kwa kubonyeza hapa: instagram.com/billy_bilali/
7/15/202210 minutes, 8 seconds
Episode Artwork

Miziki bora juma hili ndani ya Muziki Ijumaa

Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.
7/9/202215 minutes, 34 seconds
Episode Artwork

Miondoko ya kisasa na mchanganyiko kwako msikilizaji

Karibu Msikilizaji katika Makala ya Muziki Ijumaa tunakupa nafasi ya kukuchezea Wimbo unaoupenda na ambao bila shaka unakuna Moyo wako ukikukukumbusha Mambo mbali mbali na Matukio kipindi wimbo ulipotia fora… Karibu kujiunga na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka moja kwa moja kutoka Studio za RFI Kiswahili…wimbo wa kwanza utasikia ni wake Keny Rogers unaoitwa: You are my Best Friend- na miondoko mingine yenye kuvutia
6/10/202210 minutes, 5 seconds
Episode Artwork

Burudani ya muziki na Ali Bilali rfi Kiswahili

Makala yako Muziki ijumaa inakuletea mchanganyiko wa burudani waliochaguwa waskilizaji, juma hili usukani unaongozwa na Ali Bilali. Kumbuka pia kumfollow kwa instagram @billy_bilali
5/25/202210 minutes
Episode Artwork

Burudani ya muziki

Leo tunaletea burudani ya muziki kuanzia rhumba, raggae. Burudika hapo ulipo.
5/4/202210 minutes, 19 seconds
Episode Artwork

Mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Burudani ya Muziki Ijumaa hii

Katika Makala haya Ali Bilali anakuletea Burudani ya Muziki pamoja na chaguo ulilochaguwa wewe msikilizaji. Ambatane naye hadi tamati usikosi pia kumfollow kwa Instagram @billy_bilali
4/22/202210 minutes
Episode Artwork

Muziki kuwafurahisha wasikilizaji wetu

Karibu kujiunga na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka katika makala hii inayosisimua na kukuletea uhondo wa muziki wa kizazi kipya; nafasi kwako msikilizaji kuuomba wimbo unaoupenda. Karibu pata vionjo.
4/16/202210 minutes, 4 seconds
Episode Artwork

MUZIKI IJUMAA

Katika Muziki Ijumaa ,tunawasherekea wasanii wa muziku wa Taarab, ikiwa ni mwezi Machi mwezi wa kutambua mchango wa akina dada.
3/30/202210 minutes, 16 seconds
Episode Artwork

Burudani ya muziki kutoka kwa wasikilizaji

Msikilizaji unapata nafasi ya kusikiliza kibao cha muziki ulichokiomba kwenye makala haya kila Ijumaa.Karibu sana.
3/18/202210 minutes, 13 seconds
Episode Artwork

Muziki motomoto ndani ya Muziki Ijumaa

Kila Ijumaa RFI Kiswahili inakupa nafasi ya kuomba wimbo unaopenda.
3/11/202210 minutes, 5 seconds
Episode Artwork

Vibao moto moto ndani ya Muziki Ijumaa

Kila ijumaa  ndani makala ya Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuomba muziki unaopenda.
3/4/202210 minutes, 3 seconds
Episode Artwork

Unapenda kuskiza muziki upi ndani ya Muziki Ijumaa

Kila Ijumaa ni nafasi yako ya kuitisha muziki ndani ya Makala haya.
11/23/202111 minutes, 51 seconds
Episode Artwork

Tambua vibao motomoto ndani ya makala haya

Kila ijumaa ni nafasi yako kuchagua kibao unachopenda ndani ya Muziki Ijuamaa
11/23/202112 minutes, 24 seconds
Episode Artwork

Ombi lako Ijumaa hii kwenye uwanja wa Muziki

Kila Ijumaa ni Makala ya Muziki Ijumaa. Unapenda tukuchezee kibao gani ? Unaweza pia kuomba kwa kututumia sauti kwenye namba yetu ya WhatsApp +254 707 888 555. Taja jina lako, unapatikana wapi na ombi lako.
10/2/202110 minutes, 23 seconds
Episode Artwork

Chaguo lako la Muziki na Ali Bilali

Makala yako ya chaguo la Muziki Ijumaa hii uko naye Ali Bilali ambae anakuletea Burudani ya dakika 10.
9/15/202110 minutes, 10 seconds
Episode Artwork

Muziki ijumaa kutoka kwa wasikilizaji kila kona ya dunia

Huu ni mchanganyiko wa nyimbo mbali mbali kutoka kwa wasikilizaji wa RFI Kiswahili kutoka kila kona ya dunia. Tukiwakaribisha wasikilizaji wetu kutoa ombi la wimbo wangependa uchezwe mitamboni
9/10/202110 minutes, 10 seconds
Episode Artwork

Chaguo lako la muziki wiki hii

Wiki hii tulikupa nafasi ya kuchagua muziki uliopenda kutuchezee kwenye Makala ya Muziki Ijumaa, sikiliza chaguo lako.
8/13/202110 minutes, 7 seconds
Episode Artwork

Muziki kama ulivyoomba wewe msikilizaji ijumaa ya mwisho wa mwezi Julai.

Leo tumekuletea burudani tukiangazia kazi za wanamuziki  Fally Ipupa, Bahati akitokea Kenya, SAT-B akitokea Burundi na Ali Kiba miongoni mwa wasanii wengine ambao utawasikia kwenye  Makala haya.
8/2/202110 minutes, 5 seconds