Winamp Logo
DAKA CODE Cover
DAKA CODE Profile

DAKA CODE

Swahili, News media, 2 seasons, 88 episodes, 1 day, 8 hours, 6 minutes
About
Daka Code ni show ya kukupa infos mbalimbali kuhusiana na daily trending stories katika tasnia ya Burudani, Tech na Ubunifu kwa kiswahili. Don't forget to subscribe to get more updates daily!!!
Episode Artwork

Mabadiliko mapya ya Teknolojia | Akili Bandia kwa Creators

11/14/202340 minutes, 24 seconds
Episode Artwork

Jyner Lucas amtetea Chris Brown | iPhone 15 zinaonyesha taarifa nyingi za Betri | App zinazomaliza data kwenye simu

9/20/202324 minutes, 13 seconds
Episode Artwork

Kifo cha msanii Mohbadi kimeleta utata | iOS 17 inatoka leo | Jinsi ya kuhifadhi video za Instagram kwa kutumia Telegram

9/18/202348 minutes, 2 seconds
Episode Artwork

Davido anatoza dola 600k kwa show moja | WhatsApp itaweka sehemu mpya | App 5 zinazotumia Akili Bandi kutengeneza video

9/11/202324 minutes, 34 seconds
Episode Artwork

Albums na Songs mpya za wiki hii | Clubhouse imebadilisha mpangilio wa app yake | Hatua 5 za kufuata kwa content creator mpya anayeanza

9/8/202332 minutes, 3 seconds
Episode Artwork

Burna Boy ameshirikishwa katika soundtrack ya NBA 24 | Instagram na TikTok zitaweka mabadiliko mapya | Sababu zinazopelekea bundle za simu kuisha haraka

9/6/202328 minutes, 44 seconds
Episode Artwork

Drake amempa shabiki wake 50k | WhatsApp itaweka mwonekano mpya | Games nzuri 5 za bure

9/4/202324 minutes, 52 seconds
Episode Artwork

Davido amenunua cheni ya Euro 500k | Telegram imeweka Stories kwa watumiaji wote | Jinsi ya kutumia photosphere

8/16/202321 minutes, 21 seconds
Episode Artwork

Tiwa Savage ni msanii anayeongoza kwa kuwa na followers wengi katika Instagram | Mwonekano wa Call Screen ya iPhone utabadilika mwaka huu | Website 5 za kupata presets bure

8/14/202325 minutes, 13 seconds
Episode Artwork

Tory Lanez amehukumiwa miaka 10 jela | WhatsApp imeweka uwezo wa screen sharing | Kamera ya kwanza kutumia mfumo wa 4K

8/9/202325 minutes, 13 seconds
Episode Artwork

Kanye West na mke wake wametembea peku | Instagram itadhibiti Direct Messages (DM) | Mabadiliko mapya ya Premiere Pro

8/4/202325 minutes, 13 seconds
Episode Artwork

Jux na Diamond Platnumz wamevunja rekodi TikTok | YouTube Shorts inajaribu kuiga TikTok | Fahamu kuhusu NearBy Share

8/3/202332 minutes, 31 seconds
Episode Artwork

Burna Boy amekuwa msanii wa Afrika ambaye amejaza uwanja wa Citi Field New York | Zaidi ya akaunti Milioni 100 zimejiunga na mtandao wa Threads | Jinsi ya kuweka Cinematic Wallpaper kwenye Androids

7/10/202344 minutes, 1 second
Episode Artwork

Creators ambao wanaongoza kwa idadi kubwa ya Followers katika TikTok | App ya Threads itaanza kupatikana July 6 | Jinsi ya ku-edit picha kwenye Web Browser

7/5/202355 minutes, 17 seconds
Episode Artwork

Hali imezidi kuwa mbaya gerezani kwa R Kelly | Sakata la Twitter kuweka mfumo wa kudhibiti Tweets ambazo unaweza kuziona kwa siku | Matumizi ya AI kwenye app ya Lightroom

7/3/202347 minutes, 46 seconds
Episode Artwork

Wizkid ameweka rekodi kwenye mauzo | WhatsApp imeweka njia mpya ya kuhamisha chats | Fahamu njia za kupata Sound Effects bure

6/30/202326 minutes, 9 seconds
Episode Artwork

Davido atuhumiwa kumpa ujauzito mwanamke na kumtelekeza | Google imebadili logo ya Android | Insta 360 Go 3 imetoka rasmi

6/28/202334 minutes, 28 seconds
Episode Artwork

BET Awards 2023 | Instagram itaweza sehemu ya ku-download Reels | Akili Bandia ya Adobe Photoshop

6/26/202345 minutes, 2 seconds
Episode Artwork

S0209: 2Pac amepewa Walk of Fame | Yaliyojiri kwenye WWDC23 | Akili Bandia ambazo zinaweza kukusaidia kurekebisha picha zako

6/9/202330 minutes, 41 seconds
Episode Artwork

S0208 Burna Boy ameweka rekodi ya kihistoria | Spotify inajaribu mfumo wa Akili Bandia ambayo itaweza kusoma matangazo | Fahamu kuhusu CapCut na TikTok

6/5/20231 hour, 46 seconds
Episode Artwork

S0207 Kundi la Sauti Sol imetangaza kuvunjika | Mwanamke wa Kwa wa Kiarabu kwenda nje ya dunia | App 5 za Kamera za Simu

Story za Siku: - Kundi la Sauti Sol limetangaza kuwa litatengana baada ya Tour - Mwanamke wa Kwanza kutoka nje ya Dunia - Samsung imekubali kutumia search engine ya Google kwenye simu zake - Instagram ilikuwa haipatikani - Instagram inatengeneza app ambayo itakuwa inafanana na app ya Twitter - WhatsApp itaweka sehemu ya ku-edit message - Fahamu apps 5 ambazo unaweza kutumia na kamera ya simu yako Shukran kwa wafuatiliaji wote, usisahau ku-follow au Subscribe podcast yetu. Bless up sana.
5/22/202331 minutes
Episode Artwork

S0206 J Cole ametangaza atatoa Album mpya | Tanzania ipo katika mpango wa kurusha Satelaiti yake | CapCut imeweka Auto-Caption

Story za Siku - Jay Z na Beyonce wamenunua eneo kubwa la kifahari - J Cole ametangaza kuachia album yake mpya ya "The Fall Off" - YouTube itaweka matangazo ya sekunde 30 na kubadilisha mfumo wake wa matangazo - Meta inatengeneza app ambayo itakuwa kama Twitter - ChatGPT imeanza kupatikana kama App kwa watumiaji wa iPhone (iOS) - Twitter imeweka Voice Messages kwenye DM - App ya Adobe imeweka Firefly Video Editor - Auto-caption kwenye CupCut
5/19/202336 minutes, 25 seconds
Episode Artwork

S0204 Chris brown ametokea kwenye video challenge ya Davido | Sasa unaweza kuweka GIF kwenye comments za Instagram | Jinsi ya kutengeneza video kwa kutumia AI ya Kaiber

Story za Episode - Chris brown ametokea kwenye video challenge ya Davido | - Sasa unaweza kuweka GIF kwenye comments za Instagram | - Jinsi ya kutengeneza video kwa kutumia AI ya Kaiber
5/18/202327 minutes, 47 seconds
Episode Artwork

S0204 Usher amepewa Udaktari | Google imetambulisha Akili Bandia yake | Auto-caption kwenye ku-edit videos

Story za hii episode 1. Usher ametunukiwa Udaktari wa heshima ya mzuki 2. Google imetambulisha Akili Bandia yake 3. Auto-caption kwenye app za kutengeneza video
5/15/202328 minutes, 33 seconds
Episode Artwork

S0203 Rihanna ameweka rekodi | Mwanzilishi wa Akili Bandia ameacha kazi Google ili kupinga madhara ya AI

Story za leo - Rihanna ameweka rekodi mpya - The Weeknd ameandika tweet ya ajabu - Google imeweka uwezo wa kuingia kwenye akaunti bila kutumia password - WhatsApp itaweka uwezo wa kuficha chats - WhatsApp itaweka uwezo wa kuhamisha chats bila kutumia iCloud - Mwanzilishi wa Akili Bandia ameacha kazi yake Google
5/3/202312 minutes, 34 seconds
Episode Artwork

S0202 Desiigner akutwa akichafua kwenye ndege | WhatsApp na Facebook kushirikiana katika matangazo | Kuweka video za High Quality kwenye mitandao ya kijamii

Story za Leo 1. Desiigner amefunguliwa mashtaka baada ya kufanya kitendo cha ajabu kwenye ndege 2. Apple itatoa aina mpya ya kifaa 3. iPadOS na vifaa ambavyo vitaweza kupata updates mwaka huu 4. Google Authentication imebadilisha logo yake 5. WhatsApp kuungana na Facebook katika kuweka matangazo 6. Jinsi ya ku-post video bila kupunguza quality yake Thanks for listening!
4/25/202343 minutes, 24 seconds
Episode Artwork

S02E01: Davido ameweka rekodi ya dunia | Twitter imerudisha alama ya Blue Check | 6G imeweka historia | Akili Bandia kwenye Sauti

We are back, tumerudi tena katika Season 2 ya Podcast hii. Endelea kupata updates na infos za msingi ambazo zimejiri kwa wiki kupitia Daka Code. Story za Leo 1. Fahamu yaliyojiri kuhusu uzinduzi wa Album mpya ya Davido 2. Twitter imerudisha alama za Verification katika akaunti maarufu 3. iOS 17 itakuwa inaruhusu kuweka apps nje ya App Store 4. BeReal imeungana na app ya Spotify na Apple Music 5. Teknolojia ya 6G imeanza majaribio na China imeweka rekodi ya kihistoria 6. Akili Bandia imeanza kupatikana kwenye platform za kutengeneza Audio Usisahau ku-subscribe na kufuatilia more episodes. Bless up
4/24/202332 minutes, 28 seconds
Episode Artwork

Daka Code - Season 2 (Intro)

Karibuni tena fans wote wa Podcast hii ambayo inalenga kutoa updates mpya zinazohusiana na mambo ya Burudani, Teknolojia na Ubunifu. Daka Code imerudi tena na this time, itakuwa ni nzuri zaidi baada ya kufanyiwa maboresho makubwa katika Audio na Video Podcast. Hii ni Intro yetu na taarifa fupi kwa wafuatiliaji wetu wote. Karibu sana na let's get together katika codes za infos!
3/15/20237 minutes, 49 seconds