Winamp Logo
Lil Ommy Podcasts Cover
Lil Ommy Podcasts Profile

Lil Ommy Podcasts

Swahili, Music, 2 seasons, 7 episodes, 6 hours, 44 minutes
Episode Artwork

Lil Ommy Podcast: With Bongo Zozo S02E04

Bongo Zozo, Mzugnu anayeongea kiswahili vizuri mwanzo mwisho na anavutia watu wengi zaidi kwa videos zake za mtandaoni za kuhamasisha timu ya mpira ya Tanzania, Taifa Stars. Bongo Zozo amelezea alivyoingia Tanzania, kujifunza lugha ya Kiswahili, Kuoa mke wa Mswahili na Kuzaa naye watoto wawili. Wamekaa na mke miaka 22 lakini ameachana na mke wake kwa sasa, wanalaal vyumba viwili tofauti, Kupitia interview hii, Bongo Zozo ametangaza kutaka kufunga tena Ndoa na aliyekuwa mke wake (Mama Jesca) kwa mara ya 3? Mama Jesca atakubali? #LilOmmy #BongoZozo #Podcast Subscribe channel hii, LilOmmyTV kuangalia interview hii na zingine kibao, Gonga Like, Angusha Comments na Share Video hii kwenye Groups zako za WhatsApp. Let's Connect http://www.instagram.com/lilommy http://www.twitter.com/lilommy https://facebook.com/lilommyfanpage https://lilommy.com/ AV Media Studios (c) 2021
12/7/202157 minutes, 9 seconds
Episode Artwork

Lil Ommy Podcast: With Idris Sultan S02E03

Kwa mara ya kwanza IDRIS Sultan ameongelea kwa urefu kuhusu Movie ya Mwalimu Nyerere ambayo itamuwezesha kushinda Tuzo kubwa za Movies duniani za OSCARS. Je, Idris Sultan atafanya movie na aliyekuwa mpenzi wake, Wema Sepetu? Utacheka mpaka basi katika interview hii, Utajifunza mambo mengi makubwa kutoka kwa Idris Sultan ambaye alipanda sana kimaisha, akashuka, akamaliza Pesa zote alizoshinda BBA (Million 600), Kulala njaa, kujifungia ndani, kufukuzwa nyumbani hadi kuwa Director mkali wa Movies na Series ambazo zinaoneshwa Netflix na DStv! I Refuse to Stop! amesema Idris. Utajiri wake ameutaja hapa ukiwa msikilizaji mzuri utagundua hilo! Subscribe channel hii, LilOmmyTV, Comment, Like na Share video hii na zingine kibao kwenye groups zako wa WhatsApp na Mitandao ya Kijamii. #LilOmmy #IdrisSultan #Podcast Studios: AV Media TZ
12/7/20211 hour, 17 minutes, 48 seconds
Episode Artwork

Lil Ommy Podcast: With Maua Sama S02E02

Hivi unajua Maua Sama ilikuwa apate tatizo la kutokusikia milele? Unajua chanzo chake? aliwezaje kupona na kuweza kusikia tena? WAMENIROGA? Maua Sama amelezea collabo zake na wasanii wenzake wa kike, Zuchu, Nandy, Ruby, Angela na Yemi Alade. #LilOmmy #MauaSama #Podcast Amepata gari jipya na kuliita ZAI, anajenga Bagamoyo na bishara zake Kilimo, utasikia mengi ambayo ulikuwa hujui kuhusu Maua Sama na Maisha yake binafsi hadi Muziki kwenye Podcast hii #LilOmmyPodcast Subscribe #LilOmmyTV Stream Podcast hii, Like, Comment na Share link ya Video hii kwenye Groups zako za WhatsApp na Mitandao ya Kijamii! Let's Connect http://www.instagram.com/lilommy http://www.twitter.com/LilOmmy https://mobile.facebook.com/lilommyfa... https://lilommy.com/
12/7/202154 minutes, 57 seconds
Episode Artwork

Lil Ommy Podcast: With Chid Benz S02E01

Utamjua Chid Benz kuanzia anaingia kwenye game, maisha aliyopitia hadi leo 'WATU WALIKUWA WANAJUA MIMI NAKUFA' Humu ndani kuna story zote kuhusu Ruge, Babu Tale, Diamond, Alikiba, Joh Makini, Rayvanny, Madawa, Madee, MB Dog, Fid Q, Mwana FA, AY nk Chid humu ndani kaongea UKWELI MTUPU. Susbcribe channel hii, LilOmmyTV, Comment, Like na Share video hii kwenye Groups zako za WhatsApp
12/7/20211 hour, 54 minutes, 40 seconds