Winamp Logo
Faith Touch with Rev. Christine Mlingi Cover
Faith Touch with Rev. Christine Mlingi Profile

Faith Touch with Rev. Christine Mlingi

Swahili, Religion, 1 temporada, 12 episodios, 0 horas, 0 minutos
Acerca de
Mafundisho ya Neno la Mungu ya Kujenga Imani Yako
Episode Artwork

MSIMU MPYA WA KUJARIBIWA KWAKO

Katika majira ya kupokea msimu mpya wa kujaribiwa, unapaswa kuwa makini sana
27/8/20230 minutos, 0 segundos
Episode Artwork

USIUZE MAONO YAKO

Ukubwa wa changamoto zako unaakisi ukubwa wa maono yako
21/8/20230 minutos, 0 segundos
Episode Artwork

SIKU YA KUTISHA

Ishike sana imani, wala usimuache Mungu, maana siku ya kutisha inakuja ambayo kila mtu atatoa hesabu kulingana na matendo yake hapa duniani, yawe matendo mema au mabaya. Kila mtu atahukumiwa kwa kadri ya matendo yake (Ufunuo 20:13).
1/8/20231 hora, 0 minutos, 0 segundos
Episode Artwork

USIVUNJIKE MOYO

Katika maisha tunaweza kukutana na changamoto mbalimbali, ikiwa ni pamoja na kuvunjwa moyo hata na watu wa karibu yako. Katika yote hayo unatakiwa usivunjike moyo maana Mungu bado yuko upande wako kukupigania na kukushindia.
27/7/20230 minutos, 0 segundos
Episode Artwork

CHUKI

Chuki ni moja ya sababu za ubaya na dhambi za kila aina. Kaini alikuwa mwanadamu wa kwanza kuua, na sababu yake ilikuwa ni chuki dhidi ya ndugu yake. Neno la Mungu linasema "kila amchukiaye ndugu yake ni mwuaji ... (1 Yohana 3:15) na kwamba huwezi kumpenda Mungu wakati unamchukia ndugu yako (1 Yohana 4:20)
9/6/20231 hora, 0 minutos, 0 segundos
Episode Artwork

Usishindane - Sehemu ya Pili

Usishindane maana vita si yako ni ya BWANA (2Nyakati 20:15) kwa kuwa BWANA atakupigania nawe utanyamaza kimya (Kutoka 14:14).
27/5/20231 hora, 0 minutos, 0 segundos
Episode Artwork

Kanuni za Kupata Mali za Kiungu - Sehemu ya Tano

Ni mapenzi ya Mungu tufanikiwe katika mambo yote (ikiwa ni pamoja na kupta mali na utajiri) kwa kadri tunavyofanikiwa katika mambo yote ya rohoni (3 Yohana 1:2). Mungu ndiye atupaye nguvu ya kufanikiwa na kupata utajiri (Kumbukumbu 8:18)
26/5/20231 hora, 0 minutos, 0 segundos
Episode Artwork

Usishindane - Sehemu ya Kwanza

Usishindane maana vita si yako ni ya BWANA (2 Nyakati 20:15) kwa kuwa BWANA atakupigania nawe utanyamaza kimya (Kutoka 14:14).
11/5/20231 hora, 0 minutos, 0 segundos
Episode Artwork

Kanuni za Kupata Mali za Kiungu - Sehemu ya Nne

Ni mapenzi ya Mungu tufanikiwe katika mambo yote (ikiwa ni pamoja na kupata mali na utajiri) kwa kadri tunavyofanikiwa katika mambo yote ya rohoni (3 Yohana 1:2). Mungu ndiye atupaye nguvu ya kufanikiwa na kupata utajiri (Kumbukumbu 8:18).
8/5/20230 minutos, 0 segundos
Episode Artwork

Kanuni za Kupata Mali za Kiungu - Sehemu ya Tatu

Ni mapenzi ya Mungu tufanikiwe katika mambo yote (ikiwa pamoja na kupata mali na utajiri) kwa kadri tunavyofanikiwa katika mambo ya rohoni (3 Yohana 1:2). Mungu ndiye atupaye nguvu ya kufanikiwa na kupata utajiri (Kumbukumbu 8:18).
3/5/20231 hora, 0 minutos, 0 segundos