Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
Makala ya Muziki Ijumaa na machaguo ya msikilizaji
8/31/2024 • 10 minutes, 31 seconds
Pata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki wa kike barani Afrika
Kwenye makala haya tunakaribisha wikendi kwa miziki mbalimbali na leo wanamuziki wa kike wanatupambia makala.
7/19/2024 • 10 minutes, 2 seconds
Mziki wa kukata na shoka ndani ya rfi kiswahili Kila Ijumaa
Kila Ijumaa ndani ya makala Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuskia miziki ya tabaka mbalimbali hasa ile ambayo umeitisha wewe mskilizaji. Juma hili Bwana Wakoli anakupakulia miziki iliovuma, inayovuma na ile itakayovuma, skiza makala haya kuelewa maana ya miziki ilioenda shule na kafuzu.
6/28/2024 • 15 minutes, 40 seconds
Burudani safi ya weekendi kupitia muziki ijumaa
Muziki wa kizazi kipya na vibao safi vya kikale katika kusindikiza mwisho wa juma baada ya pilika nyingi za maisha
6/7/2024 • 10 minutes
Muziki Ijumaa
Katika kipindi hiki mtangazaji wa zamu anakuchezea kibao unachokipenda kwenye redio kila siku ya Ijumaa.
4/27/2024 • 10 minutes, 4 seconds
Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda
Florence Kiwuwa amekuchezea ombi lako kwenye makala ya wiki hii ya muziki Ijumaa.
4/19/2024 • 10 minutes, 40 seconds
Muziki Ijumaa ,Burudani kabambe
Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda.
1/26/2024 • 10 minutes, 5 seconds
Miziki bora juma hili ndani ya Muziki Ijumaa na Florence Kiwuwa
Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.
12/22/2023 • 10 minutes, 4 seconds
Burudani ya Muziki na Jupiter Mayaka
Muziki hutoa hamasisho, elimu, burudani, husaidia kukumbuka mambo na pia huondoa msongo na kuboresha afya.
11/18/2023 • 10 minutes
Burudani ndaniy amakala muziki ijumaa na Minzilet Ijai
9/29/2023 • 10 minutes, 9 seconds
BURUDANI YA MUZIKI IJUMAA
Wiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio
9/15/2023 • 10 minutes, 3 seconds
Muziki Ijumaa ,makala yanayokutumbuiza
Karibu kwenye Makala ya Muziki Ijuma. Unaweza kusikiza ombi lako la muziki hapa.
9/11/2023 • 10 minutes, 2 seconds
Burudani ya Muziki
Wiki hii upo nae Florence Kiwuwa amekuchezea muziki bora zaidi katika juhudi za kuipamba wikendi yako.
8/25/2023 • 10 minutes, 2 seconds
Burudani ya muziki Ijumma, tunacheza ombi lako la muziki
Katika Makala haya ya burudani huwa tunakupa nafasi wewe msikilizaji wetu kuchagua wimbo nasi tunakuchezea moja kwa moja kwenye redio kila siku ya Ijumma
8/18/2023 • 9 minutes, 59 seconds
Muziki Ijumaa
Kwenye Makala ya Muziki hapa RFI tunakuchezea kibao unachokipenda.
8/15/2023 • 10 minutes
Sikiliza Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali
Juma hili Ali Bilali yupo kwenye usukani kukuletea Makala Muziki Ijumaa.
7/22/2023 • 9 minutes, 59 seconds
Muziki Ijumaa makala ya burudani tosha
Jupiter Mayaka amekuandalia burudani ya kukata na shoka, ikiwa ni siku ya Kiswahili duniani akikuhimiza kuwa lugha hii adhimu itukuzwe.
7/18/2023 • 10 minutes, 3 seconds
Burudani ya muziki
Wiki hii Florence Kiwuwa amekuchezea muziki uliomuomba akucheze kwenye redio
7/15/2023 • 10 minutes
Miziki ya aina yake ndani ya Muziki Ijumaa
Kila Ijuma rfi Kiswahili inaporomosha vibao motomoto kupitia makala haya, nawe mskilizaji unapata nafasi ya kipekee kuomba miziki unaopenda. Miongoni mwa vibao utakavyopokea ni pamoja na kutoka nchini DRC, Tanzania na kote duniani, skiza makala haya kwa uhondo kamili.
6/23/2023 • 10 minutes, 8 seconds
Burundani ya Muziki juma hili na Ali Bilali
Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anakuletea burudani ya Muziki uliochaguwa, kama ilivyo ada ya kila siku ya Ijumaa. Usikosi pia kumfollow kwa instagram kwa kuandika @billy_bilali
6/9/2023 • 10 minutes
Rhumba ndani ya makala Muziki Ijumaa
Kila Ijuma rfi Kiswahili inakupa nafasi ya kipekee kuskiza vibao moto moto ndani ya Makala Muziki ijumaa.
Katika Makala haya Utaskia vibao moto kutoka kwa wasanii wakale kama vile Madilu System, hadi wa sasa kama vile Hermonize kutoka Tanzania.
Kwa uhondo zaidi skiza makala.
5/28/2023 • 12 minutes, 9 seconds
Burudani moto moto ndani ya muziki ijumaa
Karibu kuungana na mtangazaji wako Reuben Lukumbuka katika muziki ijumaa, anaungana na wasikilizaji kutoka kila kona wiki hii
5/19/2023 • 10 minutes, 2 seconds
Burudani Murua ndani ya Muziki Ijumaa
Karibu kuungana na mtangazaji wetu Florence Kiwuwa anakuletea makala sahihi unayoipenda ya muziki ijumaa hii ya Aprili 28 2023
4/28/2023 • 10 minutes
Burudani ndani ya makala muziki ijumaa
4/21/2023 • 9 minutes, 59 seconds
Muziki na tumbuizo maalum
Karibu kuungana na mtangazaji wetu mwandamizi Reuben Lukumbuka anakuletea makala sahihi unayoipenda ya muziki ijumaa hii ya marchi 24 2023
3/24/2023 • 10 minutes, 8 seconds
MUZIKI IJUMA
Karibu kwenye Makala ya Muziki Ijuma. Unaweza kusikiza ombi lako na muziki hapa.
3/17/2023 • 10 minutes, 23 seconds
Muziki wa kipeke ndani ya rfi Kiswahili
Kila ijumaa unapata nafasi ya kuomba na kuskiza muziki unaopenda ndani ya rfi Kiswahili, kupitia makala ya Muziki Ijumaa.
Juma hili Benson Wakoli amekuandalia vibao mbalimbali kutoka Africa Mashariki, vibao vya kale na sasa, ili kupanda uhonda kamili skiza makala haya
3/3/2023 • 11 minutes, 28 seconds
Midundo motomoto ndani ya mitambo ya rfi kiswahili
Ukikose kuskiza vibao mrua kabisa ndani ya makala muziki ijumaa kila ijumaa katika rfi kiswahili.
1/20/2023 • 15 minutes, 28 seconds
Midondo motomoto ndani ya rfi Kiswahili
Kila Ijumaa rfi Kiswahili inatoa nafasi kwa waskilizaji wake kuomba muziki ndani ya makala ya Muziki Ijumaa.
Skiza vibao vya bomba vya juma hili.
8/26/2022 • 14 minutes, 1 second
Burudani hii ni asilimia 100 chaguo la msikilizaji
Makala haya yanakuletea Burudani ya Muziki uliochaguliwa na waskilizaji
Usikosi pia kutufollow kwa instagram kwa kubonyeza hapa: instagram.com/billy_bilali/
7/15/2022 • 10 minutes, 8 seconds
Miziki bora juma hili ndani ya Muziki Ijumaa
Kila Ijumaa unapata nafasi ya kuburundika ndani ya makala haya kwa kuomba muziki unaopenda.
7/9/2022 • 15 minutes, 34 seconds
Miondoko ya kisasa na mchanganyiko kwako msikilizaji
Karibu Msikilizaji katika Makala ya Muziki Ijumaa tunakupa nafasi ya kukuchezea Wimbo unaoupenda na ambao bila shaka unakuna Moyo wako ukikukukumbusha Mambo mbali mbali na Matukio kipindi wimbo ulipotia fora…
Karibu kujiunga na mwandishi wetu Reuben Lukumbuka moja kwa moja kutoka Studio za RFI Kiswahili…wimbo wa kwanza utasikia ni wake Keny Rogers unaoitwa: You are my Best Friend- na miondoko mingine yenye kuvutia
6/10/2022 • 10 minutes, 5 seconds
Burudani ya muziki na Ali Bilali rfi Kiswahili
Makala yako Muziki ijumaa inakuletea mchanganyiko wa burudani waliochaguwa waskilizaji, juma hili usukani unaongozwa na Ali Bilali.
Kumbuka pia kumfollow kwa instagram @billy_bilali
5/25/2022 • 10 minutes
Burudani ya muziki
Leo tunaletea burudani ya muziki kuanzia rhumba, raggae. Burudika hapo ulipo.
5/4/2022 • 10 minutes, 19 seconds
Mtangazaji wako Ali Bilali anakuletea Burudani ya Muziki Ijumaa hii
Katika Makala haya Ali Bilali anakuletea Burudani ya Muziki pamoja na chaguo ulilochaguwa wewe msikilizaji. Ambatane naye hadi tamati usikosi pia kumfollow kwa Instagram @billy_bilali
4/22/2022 • 10 minutes
Muziki kuwafurahisha wasikilizaji wetu
Karibu kujiunga na mwandishi wetu Ruben Lukumbuka katika makala hii inayosisimua na kukuletea uhondo wa muziki wa kizazi kipya; nafasi kwako msikilizaji kuuomba wimbo unaoupenda. Karibu pata vionjo.
4/16/2022 • 10 minutes, 4 seconds
MUZIKI IJUMAA
Katika Muziki Ijumaa ,tunawasherekea wasanii wa muziku wa Taarab, ikiwa ni mwezi Machi mwezi wa kutambua mchango wa akina dada.
3/30/2022 • 10 minutes, 16 seconds
Burudani ya muziki kutoka kwa wasikilizaji
Msikilizaji unapata nafasi ya kusikiliza kibao cha muziki ulichokiomba kwenye makala haya kila Ijumaa.Karibu sana.
3/18/2022 • 10 minutes, 13 seconds
Muziki motomoto ndani ya Muziki Ijumaa
Kila Ijumaa RFI Kiswahili inakupa nafasi ya kuomba wimbo unaopenda.
3/11/2022 • 10 minutes, 5 seconds
Vibao moto moto ndani ya Muziki Ijumaa
Kila ijumaa ndani makala ya Muziki Ijumaa unapata nafasi ya kuomba muziki unaopenda.
3/4/2022 • 10 minutes, 3 seconds
Unapenda kuskiza muziki upi ndani ya Muziki Ijumaa
Kila Ijumaa ni nafasi yako ya kuitisha muziki ndani ya Makala haya.
11/23/2021 • 11 minutes, 51 seconds
Tambua vibao motomoto ndani ya makala haya
Kila ijumaa ni nafasi yako kuchagua kibao unachopenda ndani ya Muziki Ijuamaa
11/23/2021 • 12 minutes, 24 seconds
Ombi lako Ijumaa hii kwenye uwanja wa Muziki
Kila Ijumaa ni Makala ya Muziki Ijumaa. Unapenda tukuchezee kibao gani ? Unaweza pia kuomba kwa kututumia sauti kwenye namba yetu ya WhatsApp +254 707 888 555. Taja jina lako, unapatikana wapi na ombi lako.
10/2/2021 • 10 minutes, 23 seconds
Chaguo lako la Muziki na Ali Bilali
Makala yako ya chaguo la Muziki Ijumaa hii uko naye Ali Bilali ambae anakuletea Burudani ya dakika 10.
9/15/2021 • 10 minutes, 10 seconds
Muziki ijumaa kutoka kwa wasikilizaji kila kona ya dunia
Huu ni mchanganyiko wa nyimbo mbali mbali kutoka kwa wasikilizaji wa RFI Kiswahili kutoka kila kona ya dunia. Tukiwakaribisha wasikilizaji wetu kutoa ombi la wimbo wangependa uchezwe mitamboni
9/10/2021 • 10 minutes, 10 seconds
Chaguo lako la muziki wiki hii
Wiki hii tulikupa nafasi ya kuchagua muziki uliopenda kutuchezee kwenye Makala ya Muziki Ijumaa, sikiliza chaguo lako.
8/13/2021 • 10 minutes, 7 seconds
Muziki kama ulivyoomba wewe msikilizaji ijumaa ya mwisho wa mwezi Julai.
Leo tumekuletea burudani tukiangazia kazi za wanamuziki Fally Ipupa, Bahati akitokea Kenya, SAT-B akitokea Burundi na Ali Kiba miongoni mwa wasanii wengine ambao utawasikia kwenye Makala haya.