S02E04: Maongezi na Mtangazaji Maarufu wa Wasafi Media Charles William
S02E04: Maongezi na Mtangazaji Maarufu wa Wasafi Media Charles William
Charles anajibu maswali haya
1. Charles William ni nani
2. Nini kilikuvutia kuingia kwenye fani ya habari
3. Changamoto gani ulizokumbana nazo katika safari yako hadi kufikia ulipo, na zipi zilizopo sasa
4. Wewe sio tu ni mmoja ya watangazaji maarufu Tanzania bali ni mmoja wa watu maarufu Tanzania. Je zipi ni faida za umaarufu huo. Na Je kuna hasara za umaarufu huo kama yes, ni zipi?
5. Mwisho, kama kijana na role model kwa vijana wenzio, una ushauri gani kwao hususan kwa wale wenye ndoto za kufikia sehemu kama uliyopo sasa.
TANGAZO: Pata kopi za vitabu "Ujasusi Ni Nini na Je Majasusi Wanafanya Kazi Gani Hasa (Sh 45,000/=) na "Afisa Usalama wa Taifa ni Mtu Gani na Anafanya Nini?" (Sh 20,000/=). Free delivery Dar, mikoani delivery sh 5,000/= kwa kila kitabu. M-Pesa 0767340975 jina Anna
Kwa walio nje ya Tanzania, vitabu vinapatikana hapa https://go.chahali.com/spybooks
8/19/2024 • 33 minutes, 44 seconds
S02E03: Uchambuzi Kuhusu Kuuawa Haniyeh Huko Irani, Vurugu Kubwa Uingereza
S02E03: Uchambuzi kuhusu kuuawa kwa Haniyeh huko Irani, na vurugu kubwa nchini Uingereza
8/4/2024 • 10 minutes
S02E02: Mahojiano na Mwanahabari Nguli Afrika Mashariki, Jackie Lumbasi
S02E02: Mahojiano na Mwanahabari Nguli Afrika Mashariki, Jackie Lumbasi
7/28/2024 • 13 minutes, 36 seconds
S02 E01: Uzinduzi
Uzinduzi wa Season 02
7/28/2024 • 5 minutes
Uchambuzi Kuhusu Mabadiliko Baraza la Mawaziri
Uchambuzi mfupi kuhusu mabadiliko madogo ya baraza la mawaziri yaliyotangazwa Julai 21, 2024
7/22/2024 • 11 minutes
Uchambuzi Kuhusu Jaribio la Mauaji Dhidi ya Donald Trump
1. Kilichojiri
2. Mhusika
3. Haki ya kikatiba kumiliki silaha Marekani inavyochangia mauaji holela
4. Trump kama mhanga wa kauli zake, mfano alivyohamasisha wafuasi wake kuvamia Kongresi Januaru 6, 2021
5. Zama za Fake, siasa za uhasama kati ya Republicans vs Democrats
6. Biden hahusiki lakini haijalishi alimradi watu wanaamini hivyo
7. Shinikizo dhidi ya Biden ajiondoe kuwania urais kama kisingizio kuwa amepanga kumuua Trump
8. Trump atanufaika na tukio hili
9. Kufeli kwa intelijensia
10. Uwezekano wa mkono kutoka nje na funzo kwa Tanzania kuhusu siasa za chuki
7/15/2024 • 9 minutes, 1 second
Uhusiano Kati Ya Ujasusi na Kusulubiwa kwa Bwana Yesu Kristo
Makala hii fupi inakufahamisha kuhusu uhusiano kati ya intelijensia hususan ujasusi na Juma Kuu, hususan Jumatano Kuu ambayo pia hufahamika kama Jumatano ya Kijasusi (Spy Wednesday). Kadhalika, makala inamwangalia Yuda Iskariote kama pandikizi aliyemsaliti Bwana Yesu
3/29/2024 • 5 minutes
Wakati Mama Samia anasema kuna mtandao wa wizi serikalini, Waziri Mwigulu adai hakuna, Waziri Mchengerwa adai wizi ni wa zama za JPM
Wakati Mama Samia anasema kuna mtandao wa wizi wa fedha za serikali, Waziri wake wa Fedha (Mwigulu) adai hakuna wizi serikalini, Waziri Mchengerwa adai huo ni wizi wa "zama za JPM" 🤔
3/17/2024 • 3 minutes, 21 seconds
Taarifa ya kiintelijensia: Situation Report (SITREP) kuhusu hali ya Rais Mstaafu Mzee Mwinyi
Taarifa ya kiintelijensia: Situation Report (SITREP) kuhusu hali ya Rais Mstaafu Mzee Mwinyi
2/6/2024 • 4 minutes, 19 seconds
Happy birthday Tanganyika, Happy birthday Jasusi, na Uzinduzi wa kitabu cha UJASUSI
Happy birthday Tanganyika, Happy birthday Jasusi, na Uzinduzi wa kitabu cha UJASUSI
12/9/2023 • 10 minutes
Maongezi baina yangu na mwandamizi mmoja huko serikalini kuhusu mkataba wa bandari
Maongezi baina yangu na mwandamizi mmoja huko serikalini kuhusu mkataba wa bandari
6/11/2023 • 10 minutes
Jenerali Muhoozi atangaza rasmi kuwania urais Uganda, vipi hatma ya Baba yake Museveni? Atampindua?
Jenerali Muhoozi atangaza rasmi kuwania urais Uganda, vipi hatma ya Baba yake Museveni? Atampindua?
3/16/2023 • 10 minutes, 9 seconds
Jinsi ya Kujiunga na Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania
Jinsi ya Kujiunga na Idara ya Usalama wa Taifa Tanzania
3/8/2023 • 5 minutes, 7 seconds
Happy Mother's Day
Happy Mother's Day
5/8/2022 • 5 minutes, 8 seconds
Machi 12 kama leo, mwaka jana, nilitangaza kifo cha Magufuli... kilichofuata sintokisahau maishani
Machi 12 kama leo, mwaka jana, nilitangaza kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Magufuli. Kabla ya tangazo langu hilo, tayari kulikuwa na tetesi kadhaa kwamba afya ya kiongozi huyo ilikuwa tete. Hata hivyo, kwa kupitia vyanzo vyangu vya kuaminika, nilikuwa mtu wa kwanza kutangaza kifo hicho. Lakini madhila yaliyonikumba baada ya kuweka taarifa hiyo hadharani, sintoyasahau. Nilitukanwa, nililaaniwa, nilitishwa, na kwa hakika laiti hao waliokerwa wangeweza kunifikia, bila shaka muda huu ningekuwa marehemu. Hatimaye, siku tano baadaye, aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan alitangaza kuwa kweli Magufuli amefariki. Nami ikawa ahueni kwangu. Baadhi ya walionitukana, walikuja kuniomba msamaha japo haikusaidia kitu. Hata hivyo nafarijika kwa kuwatumikia Watanzania ipasavyo na kuwa chanzo cha kuaminika cha habari mbalimbali.
3/11/2022 • 8 minutes, 10 seconds
Heri ya Mwaka Mpya 2022: Malengo 10 ya Mwaka mpya (New Year's Resolutions)
Heri ya Mwaka Mpya 2022: Malengo 10 ya Mwaka mpya (New Year's Resolutions)
1/2/2022 • 10 minutes, 4 seconds
#JasusiPodcast inawatakia heri na baraka za sikukuu ya Krismasi na maandalizi mema ya kuipokea 2022
#JasusiPodcast inawatakia heri na baraka za sikukuu ya Krismasi na maandalizi mema ya kuipokea 2022
12/25/2021 • 1 minute, 19 seconds
Miaka 60 ya Uhuru wa "Tanganyika" - Changamoto Mbalimbali Zinazolikabili Taifa Letu na Ufumbuzi Wake
Miaka 60 ya Uhuru wa "Tanganyika" - Changamoto Mbalimbali Zinazolikabili Taifa Letu na Ufumbuzi Wake
12/10/2021 • 17 minutes, 1 second
Maadhimisho ya #SikuYaAfyaYaAkiliDuniani: Uzoefu wangu binafsi na nyenzo zilizonisaidia
Maadhimisho ya #SikuYaAfyaYaAkiliDuniani: Uzoefu wangu binafsi na nyenzo zilizonisaidia
10/1/2021 • 11 minutes, 6 seconds
Mahojiano na PHENTY KIRIA - Mwanzilishi Na Mmiliki wa Kampuni Ya Lishe Ya Lolo, Social Media Influencer, Mhamasishaji Mitandao Ya Kijamii Kuwa Sehemu Salama (SOSDiplomats), na Mhamasishaji Lishe Bora
Mahojiano na PHENTY KIRIA - Mwanzilishi Na Mmiliki wa Kampuni Ya Lishe Ya Lolo, Social Media Influencer, Mhamasishaji Wa Kufanya Mitandao Ya Kijamii Kuwa Sehemu Salama, Mhamasishaji wa Lishe Bora. Unaweza kumfolo Phenty kwa akaunti yake ya Twitter na Instagram
9/12/2021 • 23 minutes, 21 seconds
Uchambuzi wa Kiintelijensia: Taarifa Zaidi Kuhusu Hamza Hassan Mohammed Na "Motive" Ya Mauaji
Uchambuzi wa Kiintelijensia: Taarifa Zaidi Kuhusu Hamza Hassan Mohammed Na "Motive" Ya Mauaji
9/10/2021 • 14 minutes, 10 seconds
Ugaidi Au La? Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Tukio La Mtu Aliyeua Polisi Watatu Na Mlinzi Dar.
Ugaidi Au La? Uchambuzi Wa Kiintelijensia Kuhusu Tukio La Mtu Aliyeua Polisi Watatu Na Mlinzi Dar.
9/10/2021 • 21 minutes, 53 seconds
Uchambuzi wa Kijasusi: Kesi Ya Mbowe, Uamsho Na Gwajima Dhidi Ya Chanjo, Ziara Ya Mama Samia Rwanda
Uchambuzi wa Kijasusi: Kesi Ya Mbowe, Uamsho Na Gwajima Dhidi Ya Chanjo, Ziara Ya Mama Samia Rwanda
9/10/2021 • 15 minutes, 9 seconds
Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu taarifa ya polisi kwamba wanamshikilia Mbowe kwa tuhuma za ugaidi
Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu taarifa ya polisi kwamba wanamshikilia Mbowe kwa tuhuma za ugaidi
7/23/2021 • 13 minutes, 37 seconds
Mahojiano Na Captain Khalid, Mtanzania Mkazi Wa Ujerumani Anayetikisa Kwenye Comedy Kimataifa
Mahojiano Na Captain Khalid, Mtanzania Mkazi Wa Ujerumani Anayetikisa Kwenye Comedy Kimataifa
7/5/2021 • 6 minutes, 7 seconds
Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu #SikuMiaZaSamia: Alikotoka, Alipo Na Aendako
Uchambuzi wa kiintelijensia kuhusu #SikuMiaZaSamia: Alikotoka, Alipo Na Aendako
6/26/2021 • 25 minutes, 6 seconds
Maongezi Na Mwanasoka Wa Kimataifa Wa TZ @HimidMao Anaechezea Entag El Harby ya Misri na Taifa Stars
Mahojiano exclusive na mwanasoka wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami, anayechezea klabu ya Entag El Harby ya Misri na pia ni mchezaji wa timu yetu ya taifa, Taifa Stars. Katika mahojiano haya, Himid anaeleza safari yake katika soka, changamoto za soka la Tanzania na kimataifa, tofauti ya mazingira ya soka la Tanzania na soka la Misri, nini kifanyike kukwamua soka la Tanzania, na ushauri wake hasa kwa vijana akiwa kama role model wao - kwa vijana wanaotaka "kutoka" kupitia soka, na ushauri kwa vijana wengine wote katika sekta mbalimbali. Himid ni mmoja wa mabalozi wetu wanaosaidia sana kuitangaza Tanzania yetu kimataifa.
6/19/2021 • 11 minutes, 49 seconds
Mahojiano na Rahma Bajun: ameugua kipandauso miaka 21 na sasa amechapisha kitabu kuhusu ugonjwa huo
Mahojiano na Rahma Bajun, ambaye pamoja na shughuli nyingine, ni mwandishi, anaeleza kuhusu maradhi ya kipandauso, aliyopata akiwa na miaka 12, na yamedumu kwa miaka 21. Na sasa amechapisha kitabu maalum kuhusu safari yake kimaisha akiwa anasumbuliwa na maradhi hayo. Kitabu kinaitwa "The Wave."
6/16/2021 • 12 minutes, 30 seconds
Mahojiano Na Dokta @ZakayoMmbaga: Jinsi Kuuguliwa Udogoni Kulivyompa Hamasa Ya Kuja Kuwa Daktari
Katika mahojiano haya, Dokta Zakayo Mmbaga anaeleza kuhusu
👉 Jinsi kuuguliwa na nduguye kulivyomfanya atamani siku moja awe daktari, na hatimaye ikaja kuwa hivyo.
👉 Jinsi kusaidia kuhudumia mifugo kulivyompa uzoefu wa kwanza wa kuchoma sindano na kutibu vidonda, na kumtamanisha zaidi kuja kuwa daktari.
👉 Jinsi alivyorudi likizo na kukuta nduguye anaumwa kansa lakini ndugu wengine hawakufahamu na wakawa na matumiani kuwa mgonjwa atapona lakini yeye kama daktari mwanafunzi alifahamu kuwa mgonjwa huyo angefariki. Hata hivyo hakuweza kumwambia mtu yeyote, kitu ambacho kilimuumiza nafsini.
👉 Jinsi gharama kubwa wanayoingia madaktari wanafunzi zinavyowafanya kuendelea kuwa na madeni yasiyolipika, huku jaribio la kujiendeleza kitaaluma likimaanisha madeni zaidi.
👉 Jinsi mazingira magumu ya kazi yanavyofanya taaluma ya utabibu kuwa ngumu, hasa pale inapolazimika kumuelekeza mgonjwa aende hospitali ya rufaa ilhali uwezo wake kifedha ni mdogo.
Kwa hakika mahojiano haya yanahamasisha, yanatafakarisha na yanasikitisha.
6/15/2021 • 40 minutes, 56 seconds
Mahojiano Na Mwanasiasa Mkongwe wa Chadema Na Upinzani ALLY BANANGA
Katika mahojiano haya, mwanasiasa mkongwe wa Chadema na upinzani kwa ujumla, Ally Bananga, anaeleza kwa kifupi
👉 historia yake kisiasa,
👉 hali ya kisiasa ilivyokuwa nchini Tanzania katika kipindi cha utawala wa Magufuli na jinsi "alivyosalimika," 👉suala la wabunge wa viti maalum wa Chadema ambapo mmoja wa wabunge hao ni Hawa Bananga mke wa mhojiwa,
👉 "vita" kati ya baadhi ya "wanaharakati wa mtandaoni" wakiungwa mkono na viongozi na wafuasi wa Chadema dhidi msanii Diamond Platnumz anayewania tuzo za BET,
👉 utawala mpya wa Mama Samia na matajio, na
👉njia mwafaka ya kupata katiba mpya
6/13/2021 • 22 minutes, 4 seconds
Mwelekeo Mpya Wa Podcast Hii: Sasa Mtu Yeyote Anayehitaji Kuhojiwa, Anakaribishwa
Mwelekeo Mpya Wa Podcast Hii: Sasa Mtu Yeyote Anayehitaji Kuhojiwa, Anakaribishwa
6/11/2021 • 5 minutes, 7 seconds
Uchambuzi Mfupi Kuhusu "Bajeti Ya Mwigulu" Na Mama @SuluhuSamia Kumtumbua RC Chalamila
Uchambuzi Mfupi Kuhusu "Bajeti Ya Mwigulu" Na Mama @SuluhuSamia Kumtumbua RC Chalamila
6/11/2021 • 11 minutes, 11 seconds
Tuzo Za BET 2021: Wanaomsapoti Na Wanaompinga Diamond Platnumz vs Jinsi KURA ZA BET Zinavyopigwa
Tuzo Za BET 2021: Wanaomsapoti Na Wanaompinga Diamond Platnumz vs Jinsi KURA ZA BET Zinavyopigwa
6/1/2021 • 9 minutes, 9 seconds
Uchambuzi Wa Kijasusi: Shambulio La Kidukuzi (DDoS) Kwa Mfumo Wa Luku Na Hujuma Dhidi Ya Mama Samia
Uchambuzi Wa Kijasusi: Shambulio La Kidukuzi (DDoS) Kwa Mfumo Wa Luku Na Hujuma Dhidi Ya Mama Samia
5/20/2021 • 14 minutes, 7 seconds
Exclusive: Mahojiano Na Mbunifu Mavazi Wa Kimataifa SHERIA NGOWI.
Jasusi anafanya mahojiano na mbunifu mavazi wa kimataifa SHERIA NGOWI.
5/11/2021 • 6 minutes, 19 seconds
Jasusi Apiga Stori Na WAKAZI: Ubunge 2020, Hali Ya Bongofleva, Kifo cha JPM, Urais wa Mama SAMIA, nk
Jasusi Apiga Stori Na WAKAZI: Ubunge 2020, Hali Ya Bongofleva, Kifo cha JPM, Urais wa Mama SAMIA, nk
4/20/2021 • 35 minutes, 16 seconds
Urais Wa Mama Samia: Makundi 11 Yanayoweza Kumsumbua, Aweza Kukumbwa Na Yaliyomsibu Mwinyi 1985-1995
Urais Wa Mama Samia: Makundi 11 Yanayoweza Kumsumbua, Aweza Kukumbwa Na Yaliyomsibu Mwinyi 1985-1995
4/18/2021 • 12 minutes, 7 seconds
January Makamba Awasihi Wana-CCM Wasihukumiane Kwenye Tofauti Za Kimtazamo Kuhusu Legacy Ya Magufuli
January Makamba Awasihi Wana-CCM Wasihukumiane Kwenye Tofauti Za Kimtazamo Kuhusu Legacy Ya Magufuli
4/16/2021 • 20 minutes, 59 seconds
Tathmini Fupi Ya Kijasusi Kuhusu Ziara Ya Kwanza Ya Kimataifa Kwa Mama Samia Nchini Uganda
Tathmini Fupi Ya Kijasusi Kuhusu Ziara Ya Kwanza Ya Kimataifa Kwa Mama Samia Nchini Uganda
4/11/2021 • 9 minutes, 6 seconds
Mama Samia Alivyofanya Ujasiri Kutengua Uteuzi wa DG Wa TPDC Uliokuwa na Kasoro Za VETTING
Ripoti Ya Kijasusi: Mama Samia Alivyofanya Ujasiri Kutenguliwa Uteuzi wa DG Wa TPDC Uliokuwa na Kasoro Za VETTING
4/6/2021 • 13 minutes, 7 seconds
Tathmini Ya Kijasusi Kuhusu Teuzi Mbalimbali Zilizofanywa Na Mama Samia Suluhu Jana 04.04.2021
Tathmini Ya Kijasusi Kuhusu Teuzi Mbalimbali Zilizofanywa Na Mama Samia Suluhu Jana 04.04.2021
4/5/2021 • 13 minutes, 6 seconds
Taarifa Ya Kijasusi Kuhusu "Maafisa Vipenyo" Wa Nchi Moja Jirani Walivyojazana Sehemu Nyeti eg BoT
Taarifa Ya Kijasusi Kuhusu "Maafisa Vipenyo" Wa Nchi Moja Jirani Walivyojazana Sehemu Nyeti kwa mfano Benki Kuu, Bandari, nk
4/4/2021 • 12 minutes, 9 seconds
Jicho La Kiintelijensia Kwenye Mabadiliko Madogo Ya Kabineti Ya Mama Samia
Uchambuzi wa Kiintelijensia Kuhusu Mabadiliko Madogo Ya Kabineti Ya Mama Samia
4/2/2021 • 20 minutes, 7 seconds
Wanasema Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni: Baadhi Ya "Mazuri" Ya Marehemu Magufuli
Wanasema Mnyonge Mnyongeni Haki Yake Mpeni: Baadhi Ya "Mazuri" Ya Marehemu Magufuli
3/28/2021 • 16 minutes, 9 seconds
Mnaomlilia Magufuli Mlilieni Lakini Ukweli Ni Kwamba Alikuwa Dikteta, Na Hilo Halina Mjadala
Mnaomlilia Magufuli Mlilieni Lakini Ukweli Ni Kwamba Alikuwa Dikteta, Na Hilo Halina Mjadala
3/25/2021 • 20 minutes, 7 seconds
Mjadala Wa Kijasusi Kuhusu Nafasi Ya Makamu Wa Rais
Mijadala Wa Kijasusi Kuhusu Nafasi Ya Makamu Wa Rais
3/24/2021 • 19 minutes, 59 seconds
Uchambuzi Mfupi Wa Kijasusi Kuhusu Samia Kuapishwa Urais Huku Wengi Wakimlaumu Kwa Kutovaa Barakoa
Uchambuzi Mfupi Wa Kijasusi Kuhusu Samia Kuapishwa Urais Huku Wengi Wakimlaumu Kwa Kutovaa Barakoa.
3/20/2021 • 12 minutes, 7 seconds
Hatimaye Serikali Yathibitisha Kifo Cha Rais Magufuli Nilichoripoti 12.03.2021
Hatimaye Serikali Yathibitisha Kifo Cha Rais Magufuli Nilichoripoti 12.03.2021
Taarifa Zaidi Kuhusu Msiba wa Jiwe: Zengwe Dhidi Ya Mama Samia, Danadana Tangazo La Msiba
Taarifa Zaidi Kuhusu Msiba wa Jiwe: Zengwe Dhidi Ya Mama Samia, Danadana Tangazo La Msiba
3/14/2021 • 26 minutes, 11 seconds
Yaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu Upinzani
Yaliyojiri Leo Katika Msiba Wa Jiwe. Pia Kesho Kuna Hotuba Kwa Taifa ya Kiongozi Mmoja Mkuu Upinzani
3/13/2021 • 10 minutes, 9 seconds
#BreakingNews: Rais Magufuli Afariki Dunia
Rais John Pombe Magufuli amekata roho leo saa kumi na moja nusu Jioni hospitali ya Mzena Dar es Salaam. Makamu wa Rais Samiah Suluh Hassan hajaambiwa. Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa Bwana Diwani Athumani na Daktari wa Rais Professor Mchembe wamekaa na Mwili wa Marehemu mpaka sasa kupanga Makamu wa Rais wanayemtaka Bwana Chamuriho. Tumlinde Samiah, tulinde Katiba.
3/12/2021 • 8 minutes, 9 seconds
Jiwe: Yu Hai Au Ameshavuta?
Jiwe mzima au kavuta?
3/11/2021 • 8 minutes, 10 seconds
Exclusive: Kila Kinachofahamika Hadi Sasa Kuhusu Magufuli Kuumwa Mahututi Kutokana Na Korona
Exclusive: Kila Kinachofahamika Hadi Sasa Kuhusu Magufuli Kuumwa Mahututi Kutokana Na Korona
3/11/2021 • 16 minutes, 10 seconds
"Paka Mwenye Roho Tisa" ( a Proverbial Cat With Nine Lives)
Mara kadhaa nimekuwa nikitumia msemo "paka mwenye roho tisa" (a cat with nine lives). Je msemo huo una maana gani?
3/8/2021 • 5 minutes, 9 seconds
#JinsiYaKuwaMtuBora: Kanuni 10 Za Muhimu Maishani
Kuna wanaosema maisha hayana kanuni. Lakini pia kuna wanaosema kanuni za maisha zipo zaidi ya mia, ilhali wengine wakidai zipo elfu na kitu. Yote katika yote, suala la muhimu sio kanuni hizo zipo ngapi bali ufanisi wake katika kukufanya uwe mtu bora. Hizi 10 katika episode hii zaweza kuwa na msaada mkubwa kwako.
3/5/2021 • 11 minutes, 10 seconds
#SikuYaKitabuDuniani: Jasusi Wako Ambaye Ameshachapisha Vitabu 12 Anaeleza Jinsi Ya Kuandika Kitabu
Katika maadhimisho ya #SikuYaKitabuDuniani, Jasusi wako anakupatia ushauri wa bure kuhusu jinsi ya kuandika kitabu.
3/4/2021 • 8 minutes, 1 second
Heri Ya Mwezi Mpya Wa Machi: Fahamu Mbinu Hii Kila Uanzapo Wakati (Saa/Siku/Wiki/Mwezi/Mwaka) Mpya
Mbinu husika inahusiana na falsafa ya Stoicism, ambayo nayo nitaitafutia muda maalum wa kuieleza kwa upana. Na katika Stoicism kuna kitu kinachofahamika kama "Premeditatio Malorum," kwa kimombo "the premeditation of the evils and troubles that might lie ahead." Kwa tafsiri isiyo rasmi ya Kiswahili ni ile hali ya kuwa na utambuzi wa mambo mabaya yanayoweza kutokea huko mbeleni.
3/1/2021 • 5 minutes
Jinsi Wema Unavyoweza Kuzaa Majanga: Mfano Hai Kutoka Tukio Moja La Maisha Yangu Huko Kitengoni
Dunia inakuwa sehemu nzuri sana kuishi endapo upendo utatawala. Na upendo huzalisha watu wema. Kwa bahati mbaya, japo kuwa mwema ni kitu kizuri, kwaweza pia kuzalisha majanga maishani kama navyosimulia katika episode hii kuhusu tukio moja lililobadili kabisa maisha yangu, lililojiri wakati nilipokuwa huko Kitengoni.
2/26/2021 • 10 minutes, 1 second
Leo Ni Miaka Mitatu Kamili Tangu Haramia Musiba Anitaje Mie Na Wenzangu Kadhaa Kuwa WATU HATARI
Tarehe 25.02.2018, siku kama ya leo, miaka mitatu iliyopita, mbwa wa Magufuli, haramia Musiba, alinituhumu jasusi wako na watu wengine kadhaa kuwa ni WATU HATARI kwa usalama wa taifa, na kudai tulikuwa tukitumiwa na FBI kutaka kumpindua Magufuli
2/25/2021 • 9 minutes, 1 second
Twitter Mbioni Kuanzisha Utaratibu Wa Kulipia Twiti, DMs Zenye Sauti
Mtandao wa kijamii wa Twitter unatarajia kuanzisha features mbalimbali ikiwa ni pamoja na utaratibu wa kulipia twiti za watu maalum
2/25/2021 • 5 minutes
Magufuli Ashutumiwa Vikali Baada Ya Waziri Mgonjwa, Dkt Mpango, Kufanyishwa Press Conference Jana
Magufuli Ashutumiwa Vikali Baada Ya Waziri Mgonjwa, Dkt Mpango, Kufanyishwa Press Conference Jana Februari 23, 2021
2/24/2021 • 6 minutes, 2 seconds
Exclusive: Kuna Mpango Wa Kumdhuru Askofu Ruwa'ichi, Kisa Msimamo Wake Kuwataka Watu Wavae Barakoa
Exclusive: Kuna Mpango Wa Kumdhuru Askofu Ruwa'ichi, Kisa Msimamo Wake Kuwataka Watu Wavae Barakoa
2/21/2021 • 9 minutes, 11 seconds
Shirika La Afya Duniani Lamjia Juu Magufuli, Lamtaka Aache Kuficha Taarifa Za Korona. Pia Lasema Tanzania Sasa Inasambaza Korona Nchi Nyingine
Shirika La Afya Duniani Lamjia Juu Magufuli, Lamtaka Aache Kuficha Taarifa Za Korona. Pia Lasema Tanzania Sasa Inasambaza Korona Nchi Nyingine
2/21/2021 • 6 minutes, 46 seconds
Uchambuzi Wa Kijasusi: Legacy Ya Maalim Seif, Impact Yake Kwenye Mustakabali Wa Siasa Za Zanzibar, Na Kwenye Suala La KORONA Tanzania
Uchambuzi Wa Kijasusi: Legacy Ya Maalim Seif, Impact Yake Kwenye Mustakabali Wa Siasa Za Zanzibar, Na Kwenye Suala La KORONA Tanzania
2/20/2021 • 15 minutes
Stori Kubwa Za Kijasusi Zilizovuma Mwaka 2020
Stori Kubwa Za Kijasusi Zilizovuma Mwaka 2020
2/19/2021 • 13 minutes, 21 seconds
Mjadala Kuhusu Vijembe Bungeni,Kuzibana Midomo na Milioni 10 kwa Wabunge (21.06.2012)
Mjadala Kuhusu Vijembe Bungeni,Kuzibana Midomo na Milioni 10 kwa Wabunge (21.06.2012)
2/19/2021 • 33 minutes, 12 seconds
Mjadala Kuhusu Amani na Umoja Wetu Watanzania (05.06.2012)
Mjadala Kuhusu Amani na Umoja Wetu Watanzania (05.06.2012)
2/19/2021 • 35 minutes, 2 seconds
Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Vurugu Za Kisiasa Zanzibar Na Mustakabali Wa Muungano (27.05.2012)
Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Vurugu Za Kisiasa Zanzibar Na Mustakabali Wa Muungano (27.05.2012)
2/19/2021 • 24 minutes, 42 seconds
Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Uchaguzi Mkuu Nchini Ufaransa (07.05.2017)
Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Uchaguzi Mkuu Nchini Ufaransa
2/19/2021 • 17 minutes, 43 seconds
Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Uchaguzi Mdogo Madiwani (27.11.2017)
Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Uchaguzi Mdogo Madiwani (27.11.2017)
2/19/2021 • 14 minutes, 58 seconds
Mjadala Mfupi Kuhusu Ongezeko La Ushoga Tanzania (10.07.2016)
Mjadala Kuhusu Ongezeko La Ushoga Tanzania (10.07.2016)
2/19/2021 • 56 minutes, 19 seconds
Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Shambulio La Ugaidi Nchini Ufaransa (15.07.2016)
Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Shambulio La Ugaidi Nchini Ufaransa (15.07.2016)
2/19/2021 • 31 minutes, 40 seconds
Uchambuzi Mfupi Kuhusu Matokeo Ya Kidato Cha Nne (27.01.2019)
Uchambuzi Mfupi Kuhusu Matokeo Ya Kidato Cha Nne (27.01.2019)
2/19/2021 • 14 minutes, 56 seconds
Uchambuzi Wa Kijasusi: Mustakabali Wa Zimbabwe Baada Ya Anguko La Mugabe (22.11.2017)
Uchambuzi Wa Kijasusi: Mustakabali Wa Zimbabwe Baada Ya Anguko La Mugabe (22.11.2017)
2/19/2021 • 12 minutes, 48 seconds
Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Wimbi La Mabadiliko Afrika: Zimbabwe, Ethiopia, Afrika Kusini (16.02.2018)
Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Wimbi La Mabadiliko Zimbabwe, Ethiopia, Afrika Kusini (16.02.2018)
2/19/2021 • 15 minutes
Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Hali Ya Kisiasa Nchini Tanzania (22.11.2017)
Uchambuzi Wa Kijasusi Kuhusu Hali Ya Kisiasa Nchini Tanzania (22.11.2017)
2/18/2021 • 15 minutes
Jasusi Ahojiwa Na BBC Swahili Kuhusu Kura Ya Maoni Kama Uingereza Ijitoe Umoja Wa Ulaya Au La (22.06.2016)
Jasusi Ahojiwa Na BBC Swahili Kuhusu Kura Ya Maoni Kama Uingereza Ijitoe Umoja Wa Ulaya Au La (22.06.2016)
2/18/2021 • 1 hour
Jasusi Ahojiwa Na Idhaa Ya Kiswahili Ya Sauti Ya Amerika Kuhusu Ugaidi (05.0.2016)
Jasusi Ahojiwa Na Idhaa Ya Kiswahili Ya Sauti Ya Amerika Kuhusu Ugaidi (05.0.2016)
2/18/2021 • 30 minutes
Uchambuzi Kuhusu Hamahama Ya Wanasiasa 24.11.2017
Uchambuzi Kuhusu Hamahama Ya Wanasiasa 24.11.2017
2/18/2021 • 14 minutes, 59 seconds
Jasusi Ahojiwa Na BBC Swahili Kuhusu Mrithi Wa Waziri Mkuu Wa Uingereza David Cameron (30.06.2016)
Jasusi Ahojiwa Na BBC Swahili Kuhusu Mrithi Wa Waziri Mkuu Wa Uingereza David Cameron (30.06.2016)
2/18/2021 • 3 minutes, 17 seconds
Jasusi Ahojiwa Na BBC Swahili Kuhusu Uamuzi Wa Uingereza Kujitoa Umoja Wa Ulaya (24.06.2016)
Jasusi Ahojiwa Na BBC Swahili Kuhusu Uamuzi Wa Uingereza Kujitoa Umoja Wa Ulaya (24.06.2016)
2/18/2021 • 1 hour
Mahojiano na Metro FM 99.4 MHz, Mwanza kuhusu changamoto za uandishi wa vitabu (29.08.2016)
Mahojiano na Metro FM 99.4 MHz, Mwanza kuhusu changamoto za uandishi wa vitabu (29.08.2016)
2/18/2021 • 8 minutes, 42 seconds
Mahojiano ya Makutano Show na Chahali kuhusu Uhuru wa Uskochi (26.09.2014)
Mahojiano ya Makutano Show na Chahali kuhusu Uhuru wa Uskochi (26.09.2014)
2/18/2021 • 34 minutes, 53 seconds
Uchambuzi Kuhusu Mgogoro Wa Mpaka Wa Tanzania Na Malawi (07.08.2012)
Uchambuzi Kuhusu Mgogoro Wa Mpaka Wa Tanzania Na Malawi (07.08.2012)
2/18/2021 • 41 minutes, 27 seconds
Nani alimteka Dokta Ulimboka?
Episode hii ilirekodiwa Julai 3, 2012 kufuatia kutekwa na kuteswa kwa aliyekuwa Rais wa chama cha madaktari Tanzania.