Winamp Logo
Ikulu Tanzania Cover
Ikulu Tanzania Profile

Ikulu Tanzania

Swahili, News, 1 season, 40 episodes, 16 hours, 49 minutes
About
This podcast is for speeches of the President of United Republic of Tanzania Hon. Samia Suluhu Hassan
Episode Artwork

HOTUBA YA RAIS SAMIA WAKATI WA UZINDUZI WA JENGO LA KITEGA UCHUMI LA SHIRIKA LA BIASHARA LA TAIFA ZANZIBAR (ZSTC) KARAFUU HOUSE ,CHAKE CHAKE KISIWANI PEMBA ,JANUARI 09,2024

1/9/202430 minutes, 12 seconds
Episode Artwork

HOTUBA YA RAIS SAMIA YA KUAGA MWAKA 2023 NA KUUKARIBISHA MWAKA 2024

12/31/202335 minutes, 16 seconds
Episode Artwork

MAADHIMISHO YA MIAKA 62 YA UHURU WA TANZANIA BARA NA MKUTANO WA KWANZA WA UANDAAJI WA DIRA YA MAENDELEO 2050

12/11/202339 minutes, 58 seconds
Episode Artwork

HOTUBA YA RAIS SAMIA AKIPOKEA HUNDI YA BILIONI 2 KUTOKA KWA TAASISI ZA UMMA KWA WAATHIRIKA WA MAAFA YA MAFURIKO YA KATESH,HANANG,MANYARA

12/11/202317 minutes, 36 seconds
Episode Artwork

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA ALIPOFANYA ZIARA WILAYA YA HANANG ,MKOANI MANYARA KUWAJULIA HALI MAJERUHI NA KUWAFARIJI WAFIWA KATIKA MAAFA YA MAFURIKO KATESH ,HANANG ,DISEMBA 07,2023

12/7/202319 minutes, 4 seconds
Episode Artwork

MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI (COP28) - DUBAI ,UAE TAREHE 01 DISEMBA,2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye mkutano wa mabadiliko ya tabianchi duniani ,COP28 unaofanyika Dubai katika falme za kiarabu (UAE) tarehe 01 disemba ,2023
12/1/20232 minutes, 52 seconds
Episode Artwork

RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ,MHESHIMIWA SAMIA SULUHU HASSAN AKIZUNGUMZA KWENYE MKUTANO WA SAUDI ARABIA NA VIONGOZI WA NCHI ZA AFRIKA UNAOFANYIKA JIJINI RIYADH TAREHE 10 NOVEMBA 2023.

11/10/20234 minutes, 20 seconds
Episode Artwork

RAIS SAMIA ASHIRIKI MKUTANO WA JUKWAA LA UWEKEZAJI BARANI AFRIKA ,MARRAKESH ,NCHINI MOROCCO.

11/8/202317 minutes, 1 second
Episode Artwork

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA KATIKA MKUTANO WA 23 WA KIMATAIFA WA BARAZA LA UTALII DUNIANI – KIGALI, RWANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika  Mkutano wa 23 wa Kimataifa wa Baraza la Utalii Duniani leo tarehe 02 Novemba, 2023 katika ukumbi wa Rwanda Convection Centre (KCC) - Kigali, Rwanda.
11/2/202311 minutes, 40 seconds
Episode Artwork

HOTUBA YA RAIS SAMIA - UZINDUZI WA RIPOTI YA UTAFITI WA AFYA YA UZAZI NA MTOTO (2022)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua Ripoti ya Utafiti wa Afya ya Uzazi na Mtoto na Viashiria vya Malaria Tanzania ya Mwaka 2022 na Ugawaji wa Magari ya Kubebea Wagonjwa na Vifaa Tiba katika Ukumbi wa Mikutano wa JNICC leo tarehe 28 Oktoba, 2023.
10/29/202335 minutes, 10 seconds
Episode Artwork

HOTUBA YA RAIS SAMIA KATIKA SHEREHE ZA MIAKA 59 YA UHURU WA ZAMBIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan  akihutubia wakati wa maadhimisho ya miaka 59 ya Uhuru wa Zambia  tarehe 24 Oktoba, 2023.
10/24/202315 minutes, 44 seconds
Episode Artwork

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KWENYE HAFLA YA UZINDUZI WA VIFAA VYA UCHIMBAJI MADINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan  akizindua Vifaa vya Uchimbaji Madini kwa ajili ya kuimarisha STAMICO na Wachimbaji Wadogo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma leo tarehe 21 Oktoba, 2023
10/21/202331 minutes, 44 seconds
Episode Artwork

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA WAKATI WA KILELE CHA MBIO ZA MWENGE WA UHURU MKOANI MANYARA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan  akihutubia wananchi wakati wa kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru wilaya ya Babati mkoani Manyara.
10/15/202333 minutes, 7 seconds
Episode Artwork

HOTUBA YA RAIS SAMIA BAADA YA KUTUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA YA UDAKTARI WA FALSAFA (HONORIS CAUSA)

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kutunukiwa Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Falsafa (Honoris Causa) na Chuo Kikuu cha Jawaharlal Nehru kwenye hafla iliyofanyika New Delhi nchini India tarehe 10 Oktoba, 2023. 
10/10/202330 minutes, 25 seconds
Episode Artwork

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA KATIKA UZINDUZI WA TOVUTI YA HIFADHI YA NYARAKA ZA KUMBUKUMBU ZA KIDIGITALI ZA MHE. DKT. SALIM AHMED SALIM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa hafla ya uzinduzi wa Tovuti ya Hifadhi ya Nyaraka za Kumbukumbu za Kidigitali za Mhe. Dkt. Salim Ahmed Salim iliyofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam tarehe 30 Septemba, 2023.
9/30/202327 minutes, 49 seconds
Episode Artwork

KIPINDI MAALUM - ZIARA YA MHE. RAIS SAMIA MIKOA YA MTWARA NA LINDI

Kipindi maalum kuhusu ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan aliyoifanya katika mikoa ya Mtwara na Lindi kuanzia tarehe 15 - 20 Septemba, 2023.
9/25/202319 minutes, 34 seconds
Episode Artwork

MKUTANO WA BARAZA MAALUM LA VYAMA VYA SIASA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutanoi Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa na Wadau wa Demokrasia katika ukumbi wa JNICC leo tarehe 11 Septemba, 2023 , jijini Dar es Salaam.
9/11/202349 minutes
Episode Artwork

MKUTANO WA MABADILIKO YA TABIANCHI BARANI AFRIKA (AFRICA CLIMATE SUMMIT 2023) NAIROBI- KENYA TAREHE 05 SEPTEMBA, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi Barani Afrika (Africa Climate Summit 2023) Nairobi- Kenya tarehe 05 Septemba, 2023.
9/5/20238 minutes, 26 seconds
Episode Artwork

MHE. RAIS SAMIA NA MHE. RAIS WIDODO WA INDONESIA WAKIZUNGUMZA NA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Indonesia Mhe. Joko Widodo wakizungumza na vyombo vya habari Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Agosti, 2023.
8/23/20238 minutes, 46 seconds
Episode Artwork

MHE. RAIS SAMIA AKISHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 60 YA KKKT - ARUSHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Miaka 60 ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) katika Chuo cha Tumaini Makumira – Arusha leo tarehe 21 Agosti, 2023.
8/22/202323 minutes, 48 seconds
Episode Artwork

UFUNGUZI WA KIKAO KAZI KWA WENYEVITI WA BODI NA WATENDAJI WAKUU WA TAASISI ZA UMMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia kwenye ufunguzi wa Kikao Kazi kwa Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma, kilichofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa AICC Jijini Arusha tarehe 19 Agosti, 2023.
8/19/202339 minutes, 15 seconds
Episode Artwork

UAPISHO WA MABALOZI WATEULE IKULU CHAMWINO TAREHE 16 AGOSTI, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kuwaapisha MabalozI wateule Ikulu Chamwino tarehe 16 Agosti, 2023
8/16/202331 minutes, 48 seconds
Episode Artwork

UFUNGUZI WA JENGO LA KITEGA UCHUMI (SAFINA HOUSE) DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Kanisa la Anglikana Tanzania mara baada ya kufungua Jengo la Kitega Uchumi (Safina House) la Kanisa hilo katika Sherehe zilizofanyika kwenye viwanja vya Kanisa Kuu la Roho Mtakatifu Jijini Dodoma tarehe 15 Agosti, 2023.
8/15/202322 minutes, 16 seconds
Episode Artwork

KILELE CHA MAONESHO YA KILIMO NA MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA NANENANE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika kilele cha maadhimisho ya sherehe za Nanenane jijini Mbeya tarehe 08 Agosti, 2023.
8/9/202355 minutes, 32 seconds
Episode Artwork

SIMBA DAY

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa tamasha la Simba Day katika uwanja wa Mkapa jijini Dar es Salaam tarehe 06 Agosti, 2023
8/9/202314 minutes, 49 seconds
Episode Artwork

MKUTANO WA WAKUU WA NCHI ZA AFRIKA KUHUSU RASILIMALI WATU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkuu wa Wakuu wa Nchi za Afrika tarehe 26 Julai, 2023 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.
7/26/202321 minutes, 44 seconds
Episode Artwork

JUKWAA LA DEMOKRASIA AFRIKA LA VIONGOZI WAKUU WASTAAFU BARANI AFRIKA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati akifungua Jukwaa la Demokrasia Afrika uliohusisha viongozi wakuu wastaafu wa nchi mbalimbali baraki Afrika uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Gran Melia jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.
7/17/202319 minutes, 58 seconds
Episode Artwork

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPAMBANA NA RUSHWA BARANI AFRIKA

MHE.  RAIS SAMIA SULUHU HASSAN  AKIHUTUBIA KWENYE MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPAMBANA NA RUSHWA TAREHE 10 JULAI, 2O23- AICC ARUSHA
7/12/202323 minutes, 40 seconds
Episode Artwork

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA DUNIANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kupiga Vita Dawa za kulevya Duniani tarehe 25 Juni, 2023 yaliyofanyika katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha
6/27/202339 minutes, 4 seconds
Episode Artwork

TAMASHA LA UTAMADUNI LA BULABO - MWANZA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Tamasha la Utamaduni la Bulabo Mkoani Mwanza katika uwanja wa Red Cross Ngomeni, Kisesa Mkoani Mwanza.
6/13/202328 minutes, 33 seconds
Episode Artwork

MHE. RAIS SAMIA WAKATI AKISHIRIKI CHAKULA CHA USIKU NA TIMU YA YANGA IKULU, DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia  wakati wa hafla ya  Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga iliyofanyika kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar es Salaam leo tarehe 05 Juni, 2023.
6/6/202321 minutes, 54 seconds
Episode Artwork

Mhe. Rais Samia akihutubia baada kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Maadili

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan baada kuwaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Mwenyekiti wa Baraza la Maadili Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 23 Mei, 2023
5/23/20238 minutes, 7 seconds
Episode Artwork

UFUNGUZI WA JENGO LA IKULU YA CHAMWINO MKOANI DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia siku ya Ufunguzi wa Mjengo la Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma tarehe 20 Mei, 2023.
5/23/202317 minutes, 48 seconds
Episode Artwork

HOTUBA YA MHE. RAIS SAMIA SIKU YA MEI MOSI

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika sherehe za kilele cha siku ya Wafanyakazi duniani (Mei Mosi) zilizofanyika katika uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma leo tarehe 01 Mei, 2023
5/1/202326 minutes, 55 seconds
Episode Artwork

RIPOTI YA TAKUKURU NA CAG TAREHE 29 MACHI, 2023 IKULU, DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Ukaguzi wa Hesabu za Serikali kwa Mwaka 2021/2022 kutoka kwa Ndugu Charles Kichere, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) pamoja na Ripoti ya TAKUKURU ya Mwaka 2021/2022 kutoka kwa CP. Salum R. Hamduni, Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 29 Machi, 2023
3/29/202353 minutes, 16 seconds
Episode Artwork

MHE. RAIS SAMIA AKIFUNGA MKUTANO WA FARAGHA WA MAWAZIRI, NAIBU MAWAZIRI, MAKATIBU WAKUU NA NAIBU MAKATIBU WAKUU

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifunga Mkutano wa Faragha (Retreat) wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa Arusha (AICC) jijini Arusha tarehe 04 Machi, 2023
3/4/202320 minutes, 19 seconds
Episode Artwork

MHE. RAIS SAMIA AKIFUNGUA MKUTANO WA FARAGHA WA MAWAZIRI, NAIBU MAWAZIRI, MAKATIBU WAKUU PAMOJA NA NAIBU MAKATIBU WAKUU, AICC MKOANI ARUSHA TAREHE 02 MACHI, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano wa Faragha wa Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu pamoja na Naibu Makatibu Wakuu, AICC Mkoani Arusha tarehe 02 Machi, 2023
3/2/202319 minutes, 14 seconds
Episode Artwork

UTIAJI SAINI WA MIKATABA YA UTEKELEZAJI WA MIRADI MAHSUSI YA UMEME-14 FEB, 1023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishudia Utiaji Saini wa Mikataba ya Utekelezaji wa Miradi Mahsusi ya Umeme leo tarehe 14 Februari, 2023 Ikulu jijini Dar es Salaam
2/14/202330 minutes, 39 seconds
Episode Artwork

RAIS SAMIA AKIZUNGUMZA NA WAWAKILISHI WA TAHLISO NA ZAHLIFE - IKULU CHAMWINO, DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wawakilishi wa Jumuiya ya Wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu Tanzania (TAHLISO) na Zanzibar (TAHLIFE) leo tarehe 11 Februari, 2023 Ikulu Chamwino mkoani Dodoma
2/13/202326 minutes, 20 seconds
Episode Artwork

MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA - CHINANGALI, DODOMA

Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria tarehe 01 Februari, katika Uwanja wa Chinangali Jijini Dodoma.
2/1/202326 minutes, 50 seconds